Adobe Illustrator Complete Course
https://www.skillshare.com/classes/Adobe-Illustrator-Complete-Course/1308246121
Hellow Naitwa Joel Kadaga Creative Designer, baada ya kumaliza shahada yangu ya kwanza niliamua kujikita na kuweka muda wangu wote katika kujifunza masuala ubunifu wa kidijitali (Creative Design). Na hatimaye nikaanza kuandaa kozi mbalimbali na kufundisha jamii juu ya kile nilichojifunza.
Karibu katika Mafunzo ya Adobe Illustrator mafunzo haya yatamfaa mtu mpya katika Illustrator na design career kwa ujumla utajifunza kuanzia mwanzo mpaka mwisho hatua kwa hatua mpaka utakapojua kuandaa projects zako ndani ya Illustrator Interface. Adobe Illustrator ni tools ambayo ni vector based software ina nguvu na uwezo mkubwa tunapozungumza (web na print design) kazi kama Logo, Poster, sticker, Business card, Flyers, Book cover, inforgraphics, vector illustration nk.
Top Rated News
- Sean Archer
- AwTeaches
- Learn Squared
- PhotoWhoa
- Houdini-Course
- Photigy
- August Dering Photography
- StudioGuti
- Creatoom
- Creature Art Teacher
- Creator Foundry
- Patreon Collections
- Udemy - Turkce
- BigFilms
- Jerry Ghionis
- ACIDBITE
- BigMediumSmall
- Boom Library
- Globe Plants
- Unleashed Education
- The School of Photography
- Visual Education
- LeartesStudios - Cosmos
- All Veer Fancy Collection!
- All OJO Images
- All ZZVe Vectors